Au Nom d'Allah, le Très Clément, le Très Miséricordieux Le Noble Prophète (que la Paix soit sur lui et sursa Famille) a déclaré: « Celui qui, parmi ma Communauté, mémorise quarant...
Au Nom d'Allah, le Très Clément, le ...
Namshukuru Mwenyezi Mungu Tabarakal Lahu wa Taala, kwa kunipa muda wa kuanza hadi kumaliza tafsiri ya kijitabu hiki kilichoandikwa na Mwalimu wangu Maulana Sayyid Sa’eed Akhtar Rizvi, ambaye pia ni Chief Missionary wetu. Kitabu hiki ni tafsiri ya ki...
Namshukuru Mwenyezi Mungu Tabarakal Lahu wa Taala,...
Una delle questioni che si trovano nel cuore degli insegnamenti dell’Irfan nell’Islam, è la posizione dell’essere umano nell’Universo, poiché l’uomo deve necessariamente iniziare a partire da questa situazione il viaggio spirituale che ...
Una delle questioni che si trovano nel cuore degli...
“Nasi Hatukutuma Ila Uwe Rehema Kwa Walimwengu (21:107) “Nimeumchunguza yeye (Mohammad). Ni umtu anayevutia ajabu; na kwa maoni yangu, mbali na kuwa mpinga Kristo, ni lazima aitwe mwokozi wa wanadamu.” “Nina amini kwamba endapo umtu kama huyo anges...
“Nasi Hatukutuma Ila Uwe Rehema Kwa Walimwengu (21...
Este material é a reprodução autorizada de uma entrevista concedida por Rabi`ah Fityan Ishraqi como parte de um trabalho de consultoria. Obs: os termos (swt), (saas) e (as) são abreviações de expressõ...
Este material é a reprodução ...
Kijitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya Kiswahihi kutoka Kiingereza. Ni tafsiri pana ya khutba iliyotolewa na mmoja wa wanachuoni wetu mashuhuri wa Kiislamu Sayyid Muhammad Rizvi, katika programu ya TV juu ya “Islam in Focus” ya Mei, 2002 ka...
Kijitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya Ki...
L’essere umano si trova sempre alla presenza di Dio ed Egli è prossimo all’essere umano ed a tutti gli esseri viventi. Questo concetto è stato espresso nel Nobile Corano attraverso numerosi vocaboli fra cui la preposizione araba ma’a, c...
L’essere umano si trova sempre alla presenza di Di...
Traduzione di una conferenza tenuta da Sayyid Muhammad Rizvi dove spiegava e illustrava, dando vari riferimenti dal Sacro Corano e dalle Tradizioni (Ahadith). Uno dei più importanti aspetti della questione dei diritti umani è il rispet...
Traduzione di una conferenza tenuta da Sayyid Muha...
Je, wewe unaona huyu Mungu wa Biblia ni wa namna gani? Kama Mungu anao mwili, nywele na vazi , anaishi katika mahala, hajui kitu kilichojificha nyuma ya mti , anadanganya watu, huvunja ahadi yake, je binadamu yukoje? Swali: Ati Mwenyezi Mungu ana su...
Je, wewe unaona huyu Mungu wa Biblia ni wa namna g...
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu; na swala na salamu zimshukie Mtume Wake pamoja na aali zake waliotwahirishwa, amin. Mwanzo mwanzo wa mwezi wa Muharram wa mwaka huu (1424 BH), palitolewa karatasi katika mji wa Mombasa zenye kichwa cha habari "B...
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu; na swala na ...
Kitabu hiki kilichoko mikononi mwako hivi sasa ni juhudi ya miaka mingi sana ya watu waliojitolea kuona kazi hii imefanikiwa bila ya kumsahau Marhum Abu Muhammad wa London. Kama lilivyo jina la Tafsiri yenyewe ndivyo ilivyo Tafsiri yenyewe ambayo mw...
Kitabu hiki kilichoko mikononi mwako hivi sasa ni ...
Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kwa jina la: kilichoandikwa na Sheikh Ja'far al-Subhani. Sisi tumekiita: "Udhuu kwa mtazamo wa Qur'ani na Sunnah" Kitabu hiki kinahusu Udhuu. Udhuu ni tendo la kunawa (kutawadha) kish...
Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kit...
Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho International Jew. Sisi tumekiita, Myahudi wa Kimataifa. Kitabu hiki, Myahudi wa Kimataifa ni matokea ya tume iliyoundwa na Henry Ford wa Kwanza na kuchapishwa kwa mara ya...
Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kita...
Kitabu hiki kimerudiwa kimechapishwa tena kwa ruhusa ya waandishi, ili kuafikiana na Kongamano la Kilimwengu la Umoja wa Mataifa dhidi ya Ubagazi wa Rangi, (United Nations World Conference against Racism) ambalo lilitegemewa kufanyika katika jiji la ...
Kitabu hiki kimerudiwa kimechapishwa tena kwa ruhu...
Utangulizi Ingawaje Qur’an Tukufu inatujulisha vya kutosha kuhusu Jannat (Peponi ) na Jahannam ( Motoni ), vile vile tunapata habari zaidi kutoka Ahadith Qudsi zilizoletwa na Malaika Jibraili a.s. kwa Mtume Muhammad s.a.w.w. ambaye ananakiliwa na Im...
Utangulizi Ingawaje Qur’an Tukufu inatujulisha vy...
Au Nom de Dieu, le Clément, le Miséricordieux Qu'Allah, le Très-Haut, le Seigneur des mondes, soit glorifié, et que la paix soit sur Muhammad et sur ses Descendants Elus, qui nous ont montré le Droit Chemin vers la...
Au Nom de Dieu, le Clément, le Misér...
Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kwa jina la: "Al-Qabdh Baina ‘l-Bid’ah wa‘s-Sunnah" Sisi tumekiita: "Je, Kufunga Mikono Ni Bidaa au Sunna? Kwenye Sala." Kitabu hiki, "Je, Kufunga Mikono Ni Bidaa au Sunna? Kwenye Sala...
Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kit...
Il presente libro è in larga parte una versione sintetica di: “Shi°i Islam: Origins, Faiths and Practice (2003, ICAS Press)”, opera dello stesso autore. Questa versione condensata si prefigge lo scopo di illustrare in generale le principal...
Il presente libro è in larga parte una vers...
Dhana ya maadili imekuepo toka alipoumbwa mwadamu. Siku za zamani, kulikuwa na tofauti ya wazi kati ya maadili “mema” na maadili “mabaya” ingawa si mara zote watu walikuwa wakifuata maadili mema. Katika zama za sasa, tofauti kati ya maadili mema na m...
Dhana ya maadili imekuepo toka alipoumbwa mwadamu....
Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kiitwacho al-Haqiqatu ‘dh-Dha’i’ah kilichoandikwa na Sheikh Mu’tasim Sayyid Ahmad. Sisi tumekiita, Ukweli Uliopotea. Kwa vile kitabu hiki ni kikubwa, sisi tumekigawa katika juzuu tano i...
Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kita...
Mtungaji ni mtafiti katika misingi ya ukweli, mwenye kujitahidi jitihada kubwa kabisa katika njia ya kuufikia, hadi Allah (s.w.t.) akamwongoa katika njia ya sawa, “Na wale ambao wamejitahidi katika njia yetu. tutawaongoa katika njia zetu.” Amezaliwa...
Mtungaji ni mtafiti katika misingi ya ukweli, mwen...